Sasa unataka nikwambie nini?
Unakam kama maisha yamekukasirisha
Unataka nikushow?
Si ati sielewi, ama enyewe sielewi – juu enyewe
kuna aina za uchungu hata kueleza ni ngumu –
Lakini kama uko sure unataka niongee
Mi nitakushow tu ukazane aisee
na ujipe furaha
na ukule maembe
na usambaze kitu kidogo kama mtu amelemewa
Juu hii maisha manze
Hatuishi pekee yetu hata kama matime inafeel ni kama
Tunaumia pekee yetu. Maumivu ni ya wanaoumia
Na wanaoumiza. Usisahau.